Better Health Channel
betterhealth.vic.gov.au Department of Health
betterhealth.vic.gov.au Department of Health
  • Unaweza kumsaidia mtoto wako kupona kutokana na hali ya uzoefu aliyopitia yenye kuhuzunisha au ya kutisha. Uzoefu huu unaweza kujumuisha: ajali za gari, moto wa misitu na mafuriko, ugonjwa wa ghafla au kifo katika familia, uhalifu, unyanyasaji au vurugu.
  • Watoto wataangalia: jinsi ya unakabiliana na mgogoro wewe mwenyewe, jinsi unavyoitikia hisia na tabia zao.
  • Vidokezo hivi vinaweza kukusaidia kuwa na mazungumzo na mtoto wako kuhusu uzoefu wake. Ni muhimu kumwambia mtoto wako ukweli, kwa njia ambayo anaweza kuelewa kulingana na umri wake.
  • Unaweza muda wote kutafuta msaada wa kitaalamu. Mahali pazuri pa kuanzia ni daktari wako wa familia.

Give feedback about this page

More information

Reviewed on: 02-09-2025