Better Health Channel
betterhealth.vic.gov.au Department of Health
betterhealth.vic.gov.au Department of Health
  • Watoto wachanga na watoto wanaotembea huathiriwa moja kwa moja na kiwewe.
  • Pia huathirika ikiwa mama yao, baba au mlezi mkuu anateswa na matokeo ya kiwewe.
  • Iwapo nyumba na shughuli zao za kawaida hazitatulia au kutatizika kutokana na kiwewe, watoto wachanga na watoto wanaotembea pia wako katika hatari.
  • Unaweza kumsaidia mtoto wako au mtoto anayetembea kupona kwa kutoa usaidizi wa kujenga upya nyumba salama, tulivu na ya malezi mazuri.