Better Health Channel
betterhealth.vic.gov.au Department of Health
betterhealth.vic.gov.au Department of Health
  • Ni kawaida kuwa na hisia kali kufuatia tukio la kufadhaisha au la kuogofya, lakini hizi zinapaswa kuanza kupungua baada ya wiki chache.
  • Watu wanaweza kupata aina mbalimbali za athari za kimwili, kiakili, kihisia na kitabia.
  • Kuna mambo mengi unayoweza kufanya ili kukabiliana navyo na kupona kutokana na kiwewe.
  • Tafuta msaada wa kitaalamu ikiwa hutaanza kurudi katika hali ya kawaida baada ya wiki tatu au nne.